Vodacom M-Pesa
*150*00#
- 1 Piga *150*00#
- 2 Chagua 4 > Lipa kwa M-Pesa
- 3 Chagua 10 > Zaidi
- 4 Chagua 1 > e-Payment
- 5 Chagua 1 > Tiketi za Michezo
- 6 Chagua 1 > Tiketi za Mpira
- 7 Chagua mechi unayotaka kulipia
- 8 Chagua kiingilio
- 9 Weka namba ya kadi yako ya (N-Card)
- 10 Ingiza namba ya siri
- 11 Thibitisha